Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Watendaji mbalimbali hawapo pichani kutoka, Wizara ya
Ujenzi, TEMESA na Kikosi cha Maji cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania
(JWTZ) ambao wamefanya kazi kubwa ya ukarabati wa Kivuko cha MV
Kigamboni.
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akipanda ngazi kwenda kukagua Kivuko cha MV Kigamboni ambacho
matengenezo yake makubwa yanakamilika leo.
Luteni Kanali Gwanafi kulia akimuongoza Waziri wa Ujenzi
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kwenda kukagua Kivuko cha MV
Kigamboni sehemu ya chini mara baada ya kukamilika kwa ukarabati
wake.
Luteni Kanali Gwanafi wapili kutoka kulia akitoa
maelezo kuhusu ukarabati mkubwa wa Kivuko cha MV Kigamboni kama
inavyoonekana.
Taswira-Kivuko cha MV Kigamboni kinavyoonekana mara
baada ya Ukarabati wake.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...