Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati na Madini Eng. Ngosi Mwihava akiwasilisha hotuba
yake katika Kongamano la 12 la Uwekezaji katika sekta ya Madini linalofanyika
kila mwaka katika mji wa Perth nchini Australia. Mwaka huu linafanyika tarehe
3-5, 2014 mjini hapo.
Baadhi ya wajumbe kutoka Tanzania wanaoshiriki kwenye Kongamano la 12 la Uwekezaji katika sekta ya Madini linalofanyika kila mwaka katika mji wa Perth nchini Australia. Mwaka huu linafanyika tarehe 3-5, 2014 mjini hapo na linakwenda sambamba na maonesho ya makampuni na taasisi mbalimbali zilizowekeza katika sekta ya madini Barani Afrika.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati na Madini Eng. Ngosi Mwihava
(wa saba kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa
Wizara na Taasisi zilizochini ya Wizara hiyo zinazoshiriki katika Kongamano
la 12 la Uwekezaji katika sekta ya Madini linalofanyika kila mwaka katika mji
wa Perth nchini Australia. Mwaka huu linafanyika tarehe 3-5, 2014 mjini hapo
na linakwenda sambamba na maonesho ya makampuni na taasisi mbalimbali
zilizowekeza katika sekta ya madini Barani Afrika. PICHA NA KOLETA NJELEKELA, PERTH AUSTRALIA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...