Bondia toka Aljeria,Djamel Dahou akionesha mikanda anayoshikilia,muda mchache kabla ya kupima uzito . |
Bondia Said Yazidu wa Tanzania (aliyenyanyua mikono) na kulia kwake ni bondia Alibaba Ramadhan wakiajiandaa na zoezi la upimaji uzito. BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...