Makamu wa Rais Dkt Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Viongozi wa Taasisi ya Shirikisho ya kamati za Hijja alipowasili Viwanja vya Karimjee Dar es salaam leo
Baadhi ya Mahujjaji wanaotarajiwa kwenda kutekeleza ibada ya Hijja huko Makka, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal alipokua akiwahutubia katika viwanja vya Karimjee Dar es salaam leo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwahutubia baadhi ya Mahujjaji wanaotarajiwa kwenda kutekeleza Ibara ya Hijja huko Makka, katika viwanja vya Karimjee Dar es salaam leo

.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
Masha Allah. Mwenyeez Mungu awajaaliye safari ya kheri na salama salimin, mwende na mrejee salama In Sha Allh. Pia Mwenyeez Mungu awajaaliye kila lenye kheri na barka, awataqabalie dua na Ibada zenu zote za Hijja, khususan katika kuikamilisha nguzo yake hii ya tano ya Uislam kama isemavyo..Wahajju-l-bayti manistatwaa ilayhi s'sabeela. Basi kwa nyie mliojaaliwa tunazidi kuwaombea kila la kheri nasi tuliokuwa bado, Mwenyeez Mungu atujaaliye uwezo na rizki za halali ili kwa kila mwenye nia basi njia iwazi - Ameen.
ReplyDelete