Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli amekuwa akiahidi kusimamia kikamilifu ujenzi wa daraja la Mbutu,taarifa za uhakika ni kuwa daraja hilo limekamilika na kukabidhiwa rasmi leo tarehe 11 Septemba 2014.
Itakumbukwa Daraja la Mbutu limejengwa na Wakandarasi Wazarendo walioungana kwa gharama ya shilingi bilioni 12. Na huu ni mradi mkubwa wa kwanza nchini kujengwa na Makandarasi wazarendo ambapo umekamilika kwa wakati kama matakwa ya mkataba yalivyohitaji.
Huu ni muendelezo wa juhudi za wizara ya ujenzi kutaka kuwawezesha na kuwaendereza wakandarsi wazarendo.
Taswira za makabidhiano kati ya Mkandarasi na Wakala wa Barabara nchini (TANROADS)
Tunakushukuru jembe letu magufuri
ReplyDelete