Je wewe ni mrembo, mrefu mwembaba unayejiamini? Usisite kuchukua forms za kujiunga na Miss Universe Tanzania 2014 katika mikoa ifuatayo MWANZA (LULU SANGA- 0715471412); IRINGAna MBEYA ( VERONICA KILEMILE- 0782488030); ARUSHA (GADIOLA0715643633/0784643633) na DAR ES SALAAM waone au wasiliana na  (SEIF KABELELE/MWANAKOMBO SALIM - 0655441165/0713302075) Ukiona tangazo hili mjulishe na mwenzio.
 RATIBA YA USAILI.
Yale mashindano ya kumsaka mwakilishi katika mashindano makubwa kabisa ya ulimbwende ulimwenguni Miss Universe Tanzania 2014 yameanza rasmi, Kama wewe ni mrembo mwenye vigezo vyote usisite kutimiza ndoto yako na ratiba ya usaili ni kama Ifuatavyo:- MWANZA tutakua Gold Crest tarehe 14 /09/2014 saa 4 asubuhi mpaka saa 9 alasiri. ARUSHA Tarehe 12/09/2014MBEYA NA IRINGA Tarehe 16/09/2014 na DAR ES SALAAM itakua tarehe 19/09/2014 Ukumbi na muda mtatangaziwa punde. Kwa maelezo zaidi piga namba 0655441165/0713302075

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. ETI "je wewe ni mrembo, mrefu mwembamba...". Sasa wakina ANDUNJE ndo hamuwataki, au wale waliojaza, call me old school mtoto mzuri lazima awe amejaza, siyo unakama skeleton tupu, what about the "portables" easy to carry. Tusiache asilia yetu na kuiga mambo ya ulaya na marekani hata kiboko na faru ni wanyama pori na siyo twiga peke yake, and beauty is in the eye of the beholder!
    So to all you short and chubby Tanzania girls, don`t feel bad abour urselves as ur still beautiful to my eyes!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...