Mkurugenzi Mkuu na Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia, Dk. Sri Mulyani Indrawati (wapili kushoto) na Waziri wa Uchukuzi, Mh. Dk. Harrison Mwakyembe (watatu kushoto) wakimsikiliza kwa makini Meneja wa kitengo cha mafuta cha Kurasini Oil Jet (KOJ), Capt. Mwingamno wakati Dk. Sri Mulyani Indrawati alipokitembelea kitengo hicho kilichopo ndani ya bandari ya Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu na Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia, Dk. Sri Mulyani Indrawati
(katikati) na mwenyeji wake Waziri wa Uchukuzi, Mh. Dk. Harrison
Mwakyembe (kushoto) akizungumzia jambo na Meneja wa Bandari ya Dar es
Salaam, Bw. Awadh Massawe wakati alipoitembelea bandari hiyo hivi
karibuni.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Nina chuki vibaya mno na formular ya ushuru.
ReplyDeleteUshuru wanaotutoza wanyonge kwa kuigiza vijigari vyetu ni wa kuua kabisa. Kwa kweli Nina chuki kuu sana na uwizi wao wa hela za wanyonge hapo bandarini kwa kupitia ushuru usioeleweka. Ila basi tu uwezo wa kuwalogo sina.