Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William Erio akijibu sehemu ya maswali yaliyouliwa na Wanachana na Wadau wa PPF kwenye Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,unaofanyika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.Picha Zote na Othman Michuzi,Arusha.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii (SSRA),Juma Ally Muhimbi akichangia mada kwenye Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,unaofanyika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Kikao cha pili cha Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,Bw. David Mataka akiongoza kikao hicho katika Mkutano huo unaofanyika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Kikao cha tatu cha Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,Bw. David Mataka akiongoza kikao hicho katika Mkutano huo unaofanyika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
Mkurugenzi wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,Martin Mmari akionyesha moja ya kabrasha la ripoti ya Mwaka ya Mfuko huo wakati akiwasilisha taarifa ya fedha kwa mwaka wa 2013 katika Mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaoendelea leo kwa siku ya pili katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,Assumpta Maina Mallya akiwasilisha mada yake iliyokuwa ikielezea namna mfuko wa Pensheni wa PPF unavyofanya kazi zake Wakati wa Mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaoendelea leo kwa siku ya pili katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF ukiendelea leo kwa siku ya pili katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...