Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia,
Philippe Dongier wakikata utepe kuzindua rasmi Mpango wa Awamu ya Pili ya
Utekelezaji wa Maendeleo ya Sekta ya Maji.
.jpg)
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Mbogo Futakamba, akisoma hotuba katika uzinduzi rasmi wa Mpango wa Awamu ya Pili ya Utekelezaji wa Maendeleo ya Sekta ya Maji, akiwa na Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Philippe Dongier.
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe, akisoma hotuba katika uzinduzi wa Mpango wa Awamu ya Pili ya Utekelezaji wa Maendeleo ya Sekta ya Maji.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...