Home
Unlabelled
MPENDE MWANAO......
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kuona baba anatembeza mwanae ni hatua kubwa kwa Afrika yetu, ambapo mambo kama hayo alikuwa anaachiwa mama peke yake.
ReplyDeleteMimi kinacho nivutia kwenye picha hiyo ni maandishi yaliyopo ukutani na mazingira yalivyo kwenye picha yenyewe. Hakuna nchi nzuri kama TZ. Tunakula matunda ya uhuru kwa raha zetu.
ReplyDeleteAnonymous hapo juu nia ya mwandishi haikuwa kama unavyofikiria kuonesha umma kuwa Baba ana mapenzi na mwana, nia hapo ni kuonesha matumizi ya Alama kama kibao kinavyosomeka NO PARKING halafu kipo KITUO CHA POLISI NA magari kibao likiwemo gari la POLISI
ReplyDelete