Mwigizaji nyota wa filamu nchini Steven Jacob a.k.a JB "akitema yai" wakati akitoa mada yake kwenye wa uzinduzi wa Ripoti ya Benki ya Dunia Kuhusu ajiora Zenye Tija Tanzania leo Septemba 12, 2014 katika hoteli ya Hyatt regency kilimanjaro
Rais Kikwete akimpongeza mwigizaji nyota wa filamu nchini Steven Jacob a.k.a JB kwa kutoa mada yake vyema wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya Benki ya Dunia Kuhusu ajiora Zenye Tija Tanzania leo Septemba 12, 2014 katika hoteli ya Hyatt regency kilimanjaro
Mwigizaji nyota wa filamu nchini Steven Jacob a.k.a JB akisalimiana na Bi Sri Mulyani Indrawati baada ya kutoa mada yake katika uzinduzi wa Ripoti ya Benki ya Dunia Kuhusu ajiora Zenye Tija Tanzania leo Septemba 12, 2014 katika hoteli ya Hyatt regency kilimanjaro
Rais Kikwete akiendelea kumpongeza mwigizaji nyota wa filamu nchini Steven Jacob a.k.a JB kwa kutoa mada yake vyema wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya Benki ya Dunia Kuhusu ajiora Zenye Tija Tanzania leo Septemba 12, 2014 katika hoteli ya Hyatt regency kilimanjaro.
yule ni mengi? si niiisikia hakanyagi kilimanjaro hotel? au wapambe tu?
ReplyDeleteAVUMAE BAHARINI NI PAPA, LAKINI NA WENGINE WAPO.
ReplyDeleteNimejifunza elimu ya picha hapa.
ReplyDeleteNoana walinzi wa muheshimiwa Rais walikuwa wamekaa,na wakainuka na kuwa kama wamestuka vile na kujiweka tayari kikazi(picha ya pili na ya tatu).
Ni kama tukio ambalo hawakutegemea vile la Mr.JB kuongea na muheshimiwa.
Ila niwapongeze kwa umakini wao.
Ni mawazo yangu tu....