Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na viongozi wa mashina ya CCM Uingereza ambapo aliwaambia matawi ya CCM nje ya nchi yawe mawakala wa kuleta mabadiliko ndani ya chama pamoja na kuwaunganisha watanzania kujikomboa kiuchumi
Baadhi ya viongozi wa mashina ya CCM Uingereza wakifuatilia mafunzo kutoka kwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye aliyekuwa akitoa somo juu ya Wajibu wa Matawi ya CCM nje ya Nchi.
Viongozi wa mashina wakisikiliza kwa makini.
Jee hii ni kusema CCM imegundua umuhimu wa Diaspora na mchango wako kwa Tanzania au ni kubana uwezekano wa mabadiliko kutoka uhaibuni?
ReplyDeleteJe Diaspora walimuuliza kama Nape anaukubali uraia pacha? Ni lazima tuwaweke kiti moto hawa viongozi wanatuchezea. *Diaspora Milele*
ReplyDelete