The Three Degrees- "When I will see you again"

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Huu wimbo unanikumbusha 1992 wakati niko Ilboru sekondari. Wakati huo nilikuwa nakaa chumba kimoja na motto wa waziri mmoja mwanamama. Yeye tu ndiye alikuwa na redio katika chumba cha watu 20 hivi. Na moja ya kanda alizokuwa akipiga zilikuwa na wimbo huo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...