Wauguzi Theresia Haule (kulia) na Honoratha Mlunde wakiwekana sawa mavazi maalumu tayari kutoa huduma katika wodi maalumu iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa ebola iliyoko katika eneo la hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 ambako Rais Jakaya Mrisho Kikwete alitembelea
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wauguzi waliovalia mavazi maalumu tayari kutoa huduma kwa abiria atayekutwa na ugonjwa wa ebola mara atapowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara alipowasili kutokea Dodoma.
: Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo wakati alipokagua wodi maalumu iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa ebola iliyoko katika eneo la hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara alipowasili kutokea Dodoma.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
ukija kwetu tutakoma >....Mungu atunusuru sababu huu utamaduni wetu ktk jamii wa kupeana mikono wkt wa kusalimiana usipo mpa mtu mkono anaona umemdharau tutakwisha...
ReplyDelete