Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) wakati alipokutana nao kwenye Ikulu ndogo mjini Dodoma leo Septemba 08,2014.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. HAPO NI KUJADILI MUSTAKABALI WA TAIFA LETU NA JAMBO MOJA TUMEJALIWA KUPATA RAISI MSIKIVU NA MUNGWANA WATALAMU WA KUSOMA PICHA PICHA HII INA MAJIBU YA MASWALI MENGI, KWA NINI BADHI YA VIONGOZI WA VYAMA HAPO WAME JINAMIA NA WENGINE WAMEJIPA U'BUSY MBELE YA RAISI NA KATI YA HAO WAKO WANAO MSIKILIZA KWA MAKINI. KWANGU NIME PATA JIBU LA NINI CHANZO CHA MATATIZO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...