Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha mjumbe malumu wa Rais Salvar Kiir Mayardit wa Sudani Kusini,Jenerali James Kok Ruea alieleta Ujumbe maalum toka kwa Rais huyo wa Sudan Kusini Jumamosi September 14, Ikulu jijini Dar es salaam. Mjumbe huyo aliongozana pia na Mkuu wa Kituo cha Martti Ahtisari (Martti Ahtisari Centre) kwa nchi za Afrika chini ya Jangwa la Sahara, Bw. Itonde Kakoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma ujumbe maalumu toka kwa Rais Salvar Kiir Mayardit wa Sudani Kusini ulioletwa na mjumbe malumu Jenerali James Kok Ruea Jumamosi September 14, Ikulu jijini Dar es salaam. Mjumbe huyo aliongozana pia na Mkuu wa Kituo cha Martti Ahtisari (Martti Ahtisari Centre) kwa nchi za Afrika chini ya Jangwa la Sahara, Bw. Itonde Kakoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...