Msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira Bw Ridhiwan Wema pichani, akiongea na
Wanahabari hawapo pichani katika ukumbi wa Habari –Maelezo kuhusiana na
Suala la la Wakala wa Huduma za Ajira nchini. Kushoto pichani ni Kamishna wa
Kazi Bw.Saul Kinemela na kulia pembeni ni Bw Ally Msaki Mkurugenzi wa Ajira
wote kutoka Wizara ya Kazi na Ajira.
Home
Unlabelled
SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU UENDESHAJI WA WAKALA BINAFSI WA HUDUMAZA AJIRA NCHINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...