‎Familia ya Kairuki inasikitika kutangaza kifo cha Bibi Ma Angelina Kairuki kilichotokea usiku wa kuamkia jumanne tarehe 2 Septemba 2014 katika Hospitali ya Kairuki. 

Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa Mama Kairuki Mikocheni, Dar es salaam.

 Habari ziwafikie Ndugu, Jamaa na Marafiki wote wanaohusika na Msiba huo popote pale walipo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...