Dkt. Hamisi Kigwangalla, MB (Nzega), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya TAMISEMI, akiongea na  Waandishi wa Habari Kutangaza Nia ya Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwaka 2015 Kwenye Ukumbi wa Zanzibar, Hyatt Regency, The Kilimanjaro Hotel, Dar es salaam, Siku ya Tarehe 7 Septemba 2014.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. rude, arrogant- NO CHANCE

    ReplyDelete
  2. Mimi nimpongeze Bw Kigwangala kwa kuonesha nia yake ya kuwatumikia watanzania,Na si lazima kama inavyojulikana na wengi kwamba Mgombea Urais lazima atokee familia fulani kubwa au tajiri.Msingi hapa ni kuwapima watoa nia kwa uwezo wa wa kuelewa na kupambanua mambo.Ni aibu kuendelea kudhani watu fulani wachache ndo wenye mamlaka ya kutuonyesha mgombea wa urais.Binafsi Namfahamu kigwangala na naona ni kijana amabaye amejipambanua kwa uwezo wake na udhabiti wa utambuzi wa mambo na kuyatolea uamuzi.Mfano ni kadhia ya wachimbaji wadogo wa jimboni kwake,sio siri sasa tunahitaji watu amabao hawaendeshwi sana na misimamo ya vyama vyao hata kama misimamo hiyo ipo kinyume na uhalisi na UTU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...