Bwana Mfaume Kilangi wa Tuangoma Marela-Kigamboni Jijini Dar es Salaam anasikitika kutanga kifo cha baba yake mzazi MZEE IDRISA KILANGI  (pichani) kilichotokea alfajiri ya kuamkia leo jijini Dar es Salaam. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa mtoto wa Marehemu, Mfaume Kilangi Marela Tuangoma jirani na Nyumba za NSSF.

Mwili wa marehemu unataraji kusafirishwa kesho asubuhi saa 3:00 kwenda Iringa mjini kwa Mazishi.


Habari ziwafiukie Ndugu Jamaa na Marafiki wote wa Familia ya Mzee Kilangi, popte pale alipo. 

Enzi za Uhai wake Marehemu alikuwa Mkurunzi Mkuu wa Agrofocus, Mjumbe wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC) pia amewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wasindikaji Korosho Tanzania (CPAT), na pia Rais wa Mpito wa African Cashew Alliance (ACA). 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Poleni na msiba huu.

    ReplyDelete
  2. Inna Lillahi Wainna Ilayhi Rajiun. Mola mpokee na mlaze pema mja wako, mughufirie kwa yote na kesho umuingize katika yako Jannatu Nnaeem. Poleni ndugu, jamaa na marafiki wote wa Mzee Idrisa Kilangi. MOLA atawajaaliya faraja, moyo wa subira na stahamala, khususan katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa - Ameen.

    ReplyDelete
  3. Inna Lillahi Wainna Ilayhi Rajiun. Mola mpokee na mlaze pema mja wako, mughufirie kwa yote na kesho umuingize katika yako Jannatu Nnaeem. Poleni ndugu, jamaa na marafiki wote wa Mzee Idrisa Kilangi. MOLA atawajaaliya faraja, moyo wa subira na stahamala, khususan katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa - Ameen.

    ReplyDelete
  4. Poleni sana wafiwa. Huu ni msiba mkubwa kwa wadau wa korosho, sekta ya kilimo na sekta binafsi kwa ujumla. Rest in Peace mzee Kilangi!

    ReplyDelete
  5. R.I.P Dear Friend and long child hood associate ! Iringa has lost a great son , a visionary entreprenuer , leader and ambassador of goodwill and unifying force of players in the Cashewnut Industry , and above all , a passionate father whose integrity , dignity , respect for all , and Love , made him something special ,unequaled by all measures , which will be greatly missed by all !

    ReplyDelete
  6. R.I.P mzee Kilangi.

    ReplyDelete
  7. I Iove you father

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...