Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Mhandisi Christopher Chiza akizungumza na waandishi wa habari ( hawapo pichani)
juu ya mafanikio ya uzalishaji wa chakula nchini kwenye viwanja vya Wakala wa
Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Mhandisi Christopher Chiza akizungumza na waandishi wa habari ( hawapo pichani)
kwenye viwanja vya Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) jijini Dar es
Salaam leo.Kushoto ni Mkuregenzi wa Mipango na Uendeshaji wa NFRA, Anna Ngoo.
Waziri
wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza akizungumza na
waandishi wa habari ( hawapo pichani) kwenye viwanja vya Wakala wa Hifadhi ya
Chakula wa Taifa (NFRA) jijini Dar es Salaam leo.Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu
wa Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) Charles Walwa na kushoto ni
Mkuregenzi wa Mipango na Uendeshaji wa NFRA, Anna Ngoo.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) na waandishi wa
habari wakimsikiliza Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher
Chiza.
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Mhandisi Christopher Chiza, akiangalia magunia ya vyakula yaliyohifadhi wa
kwenye ghala la Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) baada ya kuzungumza
na waadhishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Mhandisi Christopher Chiza, akitoa ufafanuzi kwa mmoja wa waandishi wa habari
kabla ya kuondoka kwenye viwanja vya Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa
(NFRA).Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa
(NFRA) Charles Walwa. Picha
na Hussein Makame-MAELEZO.
Ni jambo la kujivunia ukiwa na chakula cha kutosha. Hongera kwa kazi nzuri maafisa kilimo, chakula wakati huu wa mazvuno ni kingi sana. Shida ni soko vijijini wanachi wanalalamika, tulifanyie kazi swala hili ili vyakula viweze kuhifadhiwa visiharibike bure.
ReplyDelete