Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akishiriki katika kumswalia Marehemu Ali Khamis Abdallah, Spika mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,  katika Masjid Makhfoudh ulioko Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar leo.
 Makamanda wa jeshi la Polisi Zanzibar wakilibeba jeneza la Marehemu Ali Khamis  Abdalla Spika mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar aliyezikwa Fuoni jana,maziko yake yaliyoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu kushoto) Makamo wa Pili wa rais Balozi Seif Ali Iddi,wa pili kushoto) pamoja na Viongozi mablimbali na wananchi wakiwa katika Marehemu Ali Khamis  Abdalla Spika mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar aliyezikwa Fuoni leo.
Picha na Ramadhan Othman Ikulu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...