PICHANI ni naibu waziri wa habari Vijana,utamaduni na michezo Juma Nkamia akiwa na Bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya The blue Triple A Ltd kushoto na kulia mwa Naibu Waziri Nkamia ni Wakurugenzi wa kampuni hiyo Bi&Bwa Papaa King Mollel wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya naibu waziri kuizundua nembo ya kituo cha Radio cha Triple A fm cha jijini hapa wakti wa sherehe hizo za uzinduzi wa nembo hiyo jijini hapa mwishoni mwa wiki .Picha na Mahmoud Ahmad wa globu ya jamii Arusha
Home
Unlabelled
TRIPLE A FM YAZINDUA NEMBO YA RADIO HIYO ARUSHA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...