Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya TIB, Bw. Peter Noni (kulia), akitia saini mkataba wa mkopo wa sh bilioni 12 na Mwenyekiti wa Bodi wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Severin Kaombwe (katikati), kwa ajili ya uendeshaji wa kampuni hiyo (kushoto), Meneja wa (TRL) Kipallo Aman Kisamfu, anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Mipango Mikakati wa Benki hiyo Bw, Jaffer Machano. hafla hiyo ilifanyika katika ofisi ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya TIB, Bw. Peter Noni (kulia), Meneja wa (TRL) Kipallo Aman Kisamfu (kushoto), wakibadilishiana mikataba hiyo mara baada ya kusaini.
Wadau mbalimbali wakishuhudia utiliaji saini huo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...