Wastaafu wakiwa na wenza wao wakati wa kuaagwa baada ya kukamilisha umri wa kustaafu kazi.
Mwenyekiti wa Tume Mhe. Jaji Aloysius Mujulizi akimkabidhi zawadi aliyekuwa Mhasibu Mkuu wa Tume Bi. Regina Gatama wakati wa hafla ya kuwaaga wastaafu.
Mwenyekiti wa Tume Mhe. Jaji Aloysius Mujulizi akiwaonesha wastaafu zawadi zao walizokabidhiwa. Picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...