
Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga (kulia) akiongozana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Nakheel ambayo ndio kampuni kubwa ya Serikali Dubai ambayo
ni wawekezaji wakubwa duniani katika sekta ya uendelezaji miliki,
Rashid Ahmed Lootah, kuingia kwenye chumba cha mikutano cha Ofisi za
Mkurugenzi
Mkuu wa NHC jiji Dar es Salaam jana, nyuma yake ni Mkurugenzi Mkuu wa
Ujenzi wa Miradi wa Kampuni hiyo, Masood Al Zarooni na Injinia Fawzi Al
Shah ambaye ni Mkurugenzi wa Udhibiti na Mipango Miji wa Kampuni hiyo.
Mwenyekiti
huyo na ujumbe wake wakiongozwa na Balozi Mjenga walikuwa na mazungumzo
na Menejimenti ya Shirika la Nyumba la Taifa kuhusiana na fursa za
uwekezaji zilizopo katika Satellite Cities na Fursa za Kujenga uwezo wa
masuala mbalimbali katika uendelezaji miliki.
Baadhi
ya miradi iliyosimamiwa na kampuni hiyo ni pamoja na The Palm Dubai
(the largest island Palm City in the World), Nakheel Mall, Dragon Mart
na baadhi ya hotel za nyota tano Jijini Dubai. (Picha za
Swadaqta Masheikh wa Dubai!
ReplyDeleteFanyeni mazungumzo na NHC Tanzania ili mtujengee majumba yasiyo na Riba ndefu ambayo kimsingi yana bei powa !!!