Baadhi ya wakazi wa jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake wakiwa katika banda la Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT) Maadhimisho ya
Wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji 2014, yaliyofunguliwa katika
Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Ofisa Uendeshaji wa UTT, Justine Joseph akitoa maelezo kuhusu fai anayoweza kupata mwanachama mara baada ya kujiunga na mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania.
Watu mbalimbali wakisoma vipeperushi vyenye maelezo ya huduma za UTT ili kujua faida za kujiunga na mfuko huo.
Ofisa Mafunzo wa UTT, Hilder Lyimo akitoa maelezo kuhusu huduma wanazotoa kwa watu walotembelea banda la Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT) katika Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji 2014 iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...