Mkaguzi msaidizi wa Polisi,Inspekta Sospeter Laban Akeyo akiingia ukumbini na mkewe Fidea Laban wakati wa sherehe ya kumuaga iliyoandaliwa na wakazi wa mji wa Himo katika ukumbi wa King Size In.
|
Afande Laban na mkewe wakiwa meza kuu na wageni wengine waalikwa. |
Champegne zikafunguliwa maalumu kwa ajili ya wageni waalikwa. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...