Vijimambo Blog kwa ushirikiano wa pamoja na Ubalozi wa Jamhuri ya Muunagano wa Tanzania ikiwemo Jumuiya ya Watanzania DMV inawaletea miaka 4 ya Vijimambo ikiutangaza Utalii wa Tanzania na kukemea ujangili siku ya September 13, 2014. Njoo ujivunie maliasili na utalii wa nchi yako sote kwa pamoja yunaweza kuitangaza nchi yetu na kukemea ujangili kwa kauli moja yenye nguvu inayosikika kimataifa.

Msanii wa Bongo Movie Aunty Ezekiel kunogesha tamasha la utalii siku ya Jumamosi Sept 13, 2014
Msanii wa Bongo flava Kassim mganga nae kuwepo.

AJ Ubao
Sasa huyu aunty atafanya show gani? Kuigiza au?
ReplyDeletemwenzangu bora uulize wewe....wangemchukua japo mrisho mpoto akatoe mashairi kuhusiana na vivutio vyote vilivyopo Tanzania. au hata saidi karoli akaimbe kilugha huko kuleta taswira yanutamaduni. sasa kassim ana wimbo wowote kwel wa kutangaza utalii au utamaduni? na huyo sijui AJ ubao ndo nani?
ReplyDelete