![]() |
Rais Kikwete na Malkia MAxima wa Uholanzi ambaye pia ni Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu financing for development |
Mkutano huo wa siku moja ulitoa fursa kwa viongozi kutangaza hatua na suluhu la jangahiloambalo tayari madhara yako yako bayana kwa nchi tajiri na maskini.
Miongoni mwa viongozi walioshiriki ni Rais Jakaya Kikwete waTanzaniaambaye katika hotuba yake akiwasilisha bara la Afrika alitaja mambo ambayo Afrika inahitaji wakati ambapo tayari yenyewe imeshaanza kuchukua ni hatua.
Assumpta Massoi wa Idhaa hii alizungumza na Rais Kikwete baada ya hotuba hiyo na kumuuliza mambo hayo ni yapi?
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...