Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimana na Meya wa Songea, Charles Mhagama,kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 4, 2014. Katikati ni Mbunge wa Songea mjini ,Dr. Emmanuel Nchimbi.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ,Mohamed Raza (kushoto) na Ally Juma Othman Ally (katikati) wakizungumza kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 4, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Ally Juma Othman Ally kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Septemba 4, 2014
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pida na Anne Kilango Malecala wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 4, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...