Jamaa akitia upepo katika tairi la lori kwenye foleni ya mataa ya Ubungo jijini Dar es salaam leo. Mdau aliyeleta taswira hii anahoji, je Watanzania tumefikia hatua hii kweli - hata haya hatuna???

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mimi sijaelewa hapa ana tia upepo au anatoa ni nini hasa anafanya huyo kijana

    ReplyDelete
  2. Ukiachana na maneno yakimsamiati picha inajieleza yenyewe, kama huoni tatizo then kesho tutakuona na wewe ukirudia kosa hilohilo. Watu wengi katika jamii yetu wameshaona vitendo hivi vya kukosa ustaarabu kama mambo ya kawaida, kweli Bongo safari bado ndefu...

    ReplyDelete
  3. Tuangalie tatizo ni nini? Je mnamlaumu huyu jamaa wakati ukweli ni kuwa hakuna vyoo vya kujisadia. Niambie hapo vyoo vya umma vipo wapi hapo kama hamjaanza kumlaumu huyu jamaa.

    ReplyDelete
  4. Nani kamtuma deereva wa roli kutembea na taili pancha??!! Nauliza??!! Basi muache kijana atoe huduma yake bureeeee!! ahaahaha kweli bongo tambarare, hii inabidi tukaiwekee trade mark maana hauwezi kukuta hii popote duniani!! Sio kila kitu kianzishwe na wazungu nasi tumegundua hii kudadadeki aaahahaah chezea bongo weeeeye!!

    ReplyDelete
  5. Pamoja na kuwa hakuna public toilets ktk maeneo mengi nchini laniki mtu mwenye heshima yake angeweza kutumia vyoo vya maeneo ya jirani ie, bar, groceries nk. Inabidi tubadili mentality zetu .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...