Home
Unlabelled
YALE YALEEEE.....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ana haraka
ReplyDelete4WD mbovu. Anaogopa mashimo na madimbwi... Ndio madereva wa DSM siku hizi.. Njoo bararaba ya Nderingo asubuhi kwenye keep-left ya mwaikibaki road utashuhudia. na wenzetu wa mbalamwezi wanabariki haya mambo.... hapo ni utemi utemi tuuuu
ReplyDeleteHivi watu kwanini hawafuati taratibu zilizowekwa barabarani?
ReplyDeleteWakitaka watu wafuate taratibu mahandaki katika barabara yafukiwe...Hilo shimo hapo ni kubwa, kupita kwa gari wkt mwingine unaona issue...halafu chakusikitisha lipo town kabisa...Viongozi wetu hawawajibikii..Si kosa la Dereva kosa la viongozi kutoangalia barabara hizi...Yaani Posta Barabara hivyo je huko pembezoni?
ReplyDelete