Ankal akila konozzzz na supermodel wa Tanzania anaefanya kazi zake jijini New York, Marekani, walipokutana jijini humo hivi karibuni. Ankal anamsifia Flaviana kwa kuwa mmoja wa watu maarufu wachache wanaoendesha maisha yao bila maskendo wala kashfa. Hongera sana Flaviana. Kaza buti na endeleza kupeperusha bendera yetu vyema ughaibuni.
Picha ya chini Flaviana akiwa na maafisa wa ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini New York.
Picha ya chini Flaviana akiwa na maafisa wa ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini New York.
Hapa sijui ukweli ni upi: 1) Flaviana ni mrefu ama 2) Ankal ni mfupi?
ReplyDeleteandunje
ReplyDeletePicha ya pili Flaviana akiwa na maofisa wengine ndio imethibitisha kuwa kumbe Ankal ni andunje.
ReplyDeleteInamaana Ankal ni mufupi kiasi hicho?Naona jamaa wengine wameenda hewani almost sawa na Matata.
ReplyDeleteHalafu ankal angalia hako ka mkono kako ka kushoto unakokapepeka kasije leta balaa kwa my wife wako.
Ukweli ni kwamba Flav ana viatu virefu wakati Ankal ni flat footed!!!!
ReplyDeleteKijamaa unakiona kabisa kishetaaa
ReplyDelete