Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai nyekundu) akiwa katika picha ya pamoja Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki. Wabunge hao wanashiriki ziara ya mafunzo Brussels ya kutembelea taasisi mbalimbali za Jumuiya ya Ulaya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Naona wanajichana huko ughaibuni, wengine wamevaa ngup kama hali ya hewa ya baridi haipo sana wakati huu, waangalie Bunge la Ulaya linavyofanya kazi halafu warudi waboreshe Bunge lao la Afrika Mashariki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...