Meneja wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu (kushoto) akiwa
na Meneja wa tawi la Meru, Loiyce Kapaliswa wakimkabidhi msaada
Mwenyekiti wa Kituo cha kusaidia Wazee Arusha, Mzee Ngonyani ikiwa ni
sehemu ya
maadhimisho ya Wiki ya Huduma Wateja. Kulia ni Ofisa wa Benki ya CRDB,
Pamela.
Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la moshi. Wakikata keki kama maadhimo ya Wiki ya Wateja wa Benki ya CRDB.
Meneja Uhusiano wa
Akaunti ya Tanzanite ya Benki ya
CRDB, Lucy Naivasha akiwapa Champagne wateja wa Benki hiyo wa
tawi la UDSM wakati wa maadhimisho ya Wiki ya
Wateja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...