Bondia Said Mbelwa akinyooshwa mkono juu kuashilia ushindi wa mpambano huo.
Bondia Georger Dimoso kushoto akipambana na Said Mbelwa wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamoso iliyopita Mbelwa alishinda kwa point mpambano huo wa raundi nane.
Mashabiki wa mchezo wa masumbwi wakifatilia kwa makini mchezo huo
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA |
Home
Unlabelled
BONDIA SAIDI MBELWA APIGA GEORGE DIMOSO KWA POINT
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...