Wanachama wa chama cha Watanzani a waishio Ufaransa wakishiriki katika kufanya usafi katika ubalozi wa zamani jijini Paris ikiwa ni mojawapo ya shughuli za kuadhimisha Mwalimu Nyerere Day
Wanachama wa chama cha Watanzani a waishio Ufaransa wakishiriki katika kufanya usafi katika ubalozi jijini Paris ikiwa ni mojawapo ya shughuli za Mwalimu Nyerere Day
Wanachama wa chama cha Watanzani a waishio Ufaransa wakishiriki katika kufanya usafi katika ubalozi jijini Paris ikiwa ni mojawapo ya shughuli za Mwalimu Nyerere Day
Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe Begum Taj naye alishiriki katika kusafisha jengo la ubalozi jijini Paris
Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe Begum Taj akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa chama cha Watanzani a waishio Ufaransa ambao walishiriki katika kufanya usafi katika ubalozi jijini Paris ikiwa ni mojawapo ya shughuli za Mwalimu Nyerere Day
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...