Leo kamera ya Globu ya Jamii,imemnasa fundi huyu makiri wa kupaka rangi kwenye majengo marefu jijini Dar kama aonekanavyo hapo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Health and Safety?

    ReplyDelete
  2. HSE ni tatizo !

    ReplyDelete
  3. Ivi kweli wanamuacha huyu akihatarisha maisha?Wale wenye jukumu la kulinda usalama wa raia na mali zao wanahabari kwamba hili nalo ni eneo lao???

    ReplyDelete
  4. ana bima huyu akianguka?

    ReplyDelete
  5. Bongo tambarale !

    Kibarua hiyo kwa siku Posho Tsh. 5,000/= una mke watoto watatu na nyumba ndogo ,huku Banda la Gongo lazima kuhudhuria !

    Hapo hakuna Bima (Insurance) ukiporomoka ukivunjika kiuno Hospitalini wanakuletea Laki moja tu wikiya kwanza halafu wanakula kona!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...