Home
Unlabelled
JARIDA LA WIKI NISHATI NA MADINI TOLEO LA 36
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera sana Mhe. Muhongo na timu yako nzima ya Wizara ya Nishati na Madini. Hakika Mhe. Rais Wetu anastahili kusifiwa na kushukuliwa kwa Hekima kubwa aliongozwa na Mungu hadi kutupatia zawadi ya kiongozi kama wewe kuongoza Wizara hii Muhimu.
ReplyDeleteKwani ni ukweli usiopingika kuwa kwa muda mrefu Wizara hii imekuwa kama haipo hata mikakati yake iliyokuwa ikitolewa kwa wananchi huko nyuma kabla yako imekuwa ikiishia kwenye maktaba tu au kuishia kulipatia Taifa letu hasara , Lakini sasa kupitia uongozi wako hakika tunaona Wizara hii imebadilika sasa ina mwelekeo katika na angalau imetuletea matumaini yaliyokuwa yamepotea kwa muda mrefu.Kwani siku hizi angalau urasimu wa kuunganishiwa umeme umepunguwa kwa kiwango kikubwa.
Ni kwa msingi huu wa mikakati yenu na uzalendo ambao mmeweka katika kuhakikisha sekta hii inakuwa ni yenye manufaa kwa Taifa letu ndio maana mmekuwa na ujasiri mkubwa hata kutuwekea "NEWS BULLETIN"ya MEM.
NAWAPONGEZA SANA KWA KUTUHABARISHA WATANZANIA KUHUSU MATARAJIO NA MIKAKATI YENU kupitia jarida hili.
TUKO NYUMA YAKO MHE. WAZIRI SONGA MBELE.