Rais Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Menejimenti ya Barclays Africa, Bi. Mizinga Melu  (wa tatu kushoto) alipokwenda kumuaga Ikulu, Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Bi Rukia Mtingwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Bw. Pius Tibazarwa. Bi Melu aliyekuwa mkurugenzi tendaji wa benki hiyo alichaguliwa kushika wadhifa huo hivi karibuni.

 Rais Jakaya Kikwete (kulia) akimsindikiza  Mtendaji Mkuu wa Menejimenti ya Barclays Africa Bi. Mizinga Melu  alipokwenda kumuaga Ikulu, Dar es Salaam leo.


 Rais Jakaya Kikwete  katika picha ya kumbukumbu na  Mtendaji Mkuu wa Menejiment ya Barclays Africa, Bi Mizinga Melu  (wa pili kushoto) alipokwenda kumuaga Ikulu, Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Bi Rukia Mtingwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa  NBC, Pius Tibazarwa. Bi Melu aliyekuwa mkurugenzi tendaji wa benki hiyo alichaguliwa kushika wadhifa huo hivi karibuni.
 Rais Jakaya Kikwete akiagana na Mtendaji Mkuu wa Menejiment ya Barclays Africa, Bi Mizinga Melu (wa pili kushoto), alipokwenda kumuaga Ikulu, Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Bi. Rukia Mtingwa, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji  wa NBC, Bw. Pius Tibazarwa na Meneja Mahusiano wa benki hiyo, Bw. William Kallaghe. Bi Melu aliyekuwa mkurugenzi mkurugenzi wa benki hiyo alichaguliwa kushika wadhifa huo hivi karibuni. PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. ni NBC au Baclays?

    ReplyDelete
  2. Ni NBC na Barclays. Bi Melu alikuwa NBC na sasa ameteuliwa kushika wadhifa kwenye Barclays Africa. Waliomsindikiza na menejimenti ya NBC, ndivyo nilivyoelewa.

    ReplyDelete
  3. Barclays wamenunua NBC kwa hiyo ndio hiyo hiyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...