![]() |
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Dkt. Norman Sigela (wa pili kulia) pamoja na Meya wa jiji la Mbeya Ndugu Athanas Kapunga (kulia) wakipokea kadi ya ushabiki ya Mbeya City Football Club kutoka kwa Kaimu Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania Ndugu Jema Msuya (wa tatu kushoto). Wa pil kushoto kwenye picha ni Mkurugenzi wa masoko wa benki ya Posta Mr Deogratius Kwiyukwa. Chini ni viongozi na wachezaji wa Mbeya City. |
![]() |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...