Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikinga maji wakati wa kuzindua
mradi wa maji wa kata ya Mkalamo wilaya ya Pangani mkoani Tanga.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimtwisha dumu la maji mmoja wa wakazi wa kata ya Mkalamo
Wananchi wa Kata ya Mkalamo wakichota maji safi na salama kwenye mradi wa maji ya kisima kilichogharimu zaidi ya shilingi milioni 29 ambacho kimefadhiliwa na hifadhi ya Taifa ya Saadani.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kuchimba mtaro wa bomba la maji wa kata ya Mkalamo wilaya ya Pangani mkoani Tanga.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua matofali ya ujenzi wa ofisi yaCCM kata ya Mkwaja.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...