Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipata mlo nyumbani kwa Balozi Lucas Mtumbuka (kushoto)wa Shina namba moja eneo la Mkimbizi, alipokwenda kumtembelea yeye na wananchama wake wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Jimbo la Iringa Mjini.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Kinana akichukua mhogo ambao ni sehemu ya vyakula alivyoandaliwa na balozi. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Duh...chai na mahindi si mchezo,amenikumbusha enzi za togwa na ugali....
ReplyDeleteSaafi sana Lt. Col Kinana
ReplyDelete