Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakishiriki kuvuna majani ya chai, katika shamba la Uniliver, eneo la Ngwazi, katika wilaya ya Mufundi mkoani Iringa, leo Oktoba 10, 2014. Kinana yupo katika ziara ya mkoa huo, kukagua na kuhimiza utekelezaji wa ilani ya CCM. (Picha na Bashir Nkoromo).
Home
Unlabelled
KINANA, NAPE WASHIRIKI UVUNAJI CHAI,MUFINDI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mashamba ya chai na ukubwa wake mpaka kwenye upeo wa macho yanadhihirisha kazi nzuri ya mkulima na kama nchi tulivyo mbele katika uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara.
ReplyDelete