Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. kazi nzuri mr.michuzi na hii ni sehemu ya maendeleo.
    MR.Hija Saleh from Holland

    ReplyDelete
  2. Ankal kama kawaida yako kutuletea habari moto moto za maendeleo kutoka nyumbani, kazi nzuri zinakufa ya tujisikie tupo nyumbani. Keep it on, Tuko pamoja nawe pamoja na timu yako nzima.
    Abbu Omar.Prof.Jr, Mwanamuziki, Tokyo-Japan.

    ReplyDelete
  3. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni HONGERA SANA RAIS WANGU JAKAYA MRISHO KIKWETE siku hizi mwenge tegeta ni kama ulaya tu hakuna foleni.

    Mdau Tanzania.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...