11/10/2008 - 11/10/2014
SIKU,WIKI,MIEZI HATIMAYE LEO IMEFIKA MIAKA SITA TANGU UTUTOKE DUNIANI.KAMWE HATUTAWEZA KUISAHAU SIKU HII.TUNAKUKUMBUKA KWA UPENDO ,USHAURI, NA UKARIMU WAKO NA KUTUREKEBISHA PALE TULIPOKOSEA NA KUTUONYESHA NJIA ILIYO SAHIHI YA KUFUATA.
PUMZIKA KWA AMANI MAMA HUKO ULIPO. NA SIKU ZOTE ZA MAISHA YETU TUTAKUKUMBUKA SANA. TUKIAMINI SIKU MOJA TUTAWEZA KUONANA.
DAIMA UNAKUMBUKWA NA MUME WAKO (MZEE JOHN MBUYA), WATOTO WAKO, WAJUKUU ZAKO, NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WOTE.
RAHA YA MILELE UMPE EHE BWANA NA MWANGA WA MILEE UMWANGAZIE
ASTAREHE KWA AMANI.
AMEN
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...