Ankal hebu rusha hiki kikosi kabambe cha Radio One na ITV enzi hizo. Je unawakumbuka na ilikuwa lini hii taswira? Msaada tutani kwa wenye data tafadhali... 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Charles Hilary, Brother Miki, uncle Nyaisanga(RIP), Taji Liundi, Deo Mshigeni, Monica Mfumia, Abuu Liongo, Vicky Msina, Blandina Mwongezi, Kilikuwa kimetimia. Deo na Monica mpo wapi siku hizi?

    ReplyDelete
  2. Amekosa Kipozi Ahmed na kipindi chake cha Nipashe asubuh na mapema, nakumbuka coverage yake ya kuzama MV Bukoba alitangaza kwa hisia sana....hongera sana bwana DC.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...