"Katika mashindano haya yetu, washiriki wote hujaza fomu maalum zilizoandaliwa na Kamati ya Miss Tanzania...Katika fomu alizojaza mrembo wa Miss Tanzania 2014 Sitty Abbas Mtemvu amejaza tarehe yake ya kuzaliwa ambayo ni Mei 31, 1991 na hivyo kuwa ni sahihi kushiriki mashindano yetu" Alisema Lundenga mbele ya wanahabari hao.
Lundenga aliendelea kusema kuwa Mashindano ya Miss Tanzania hayaruhusu mshiriki yeyote mwenye mtoto kushiriki. Hivyo, akaongezea, katika swala la Sitti Mtemvu kuwa ana mtoto, hilo halina ukweli wowote bali ni uvumi tu wa kwenye mitandao ya kijamii baada ya Mrembo huyo kuonekana akiwa katika picha na mtoto alieomba kupiga nae picha.
Mkurugenzi wa Lino International Agency ambao ni Waandaaji wa mashindano ya Urembo ya Miss Tanzania,Hashim Lundenga akionyesha nakala ya cheti cha kuzaliwa cha Mrembo Sitti Mtemvu alicholetewa na wazazi wake.
Nakala halisi ya Cheti hicho inayoonyesha Mrembo huyo amezaliwa Mei 31,1991.
Miss Tanzania 2014,Sitti Abbas Mtemvu akizungumza machache na waandishi wa habari.
Lundenga usitufanye sisi ni wajinga mtu azaliwe 1991 cku zote hajatoa cheti cha kuzaliwa hadi Sept 2014. Alete cheti original cio hicho cheti chenu cha juzi
ReplyDeleteTunaomba rekodi za huyu binti wakati akoimba passport ambayo imeonyesha kuwa amezaliwa 31/05/1989, Umcke Lundenga mbona hujazungumzia hilo? je huyu Miss amepata cheti cha kuzaliwa mwaka huu? Hebu tuache maneno tunatako ushahidi zaidi, tunajua Marekani wako makini sana, ile leseni sio ya kwake?
ReplyDeleteWatanzania ni aibu aibu aibu aibu tupu!
ReplyDeleteHivi kweli hata kitu kidogo kama hiki watu wanaamua kufoji tena udanganyifu unafanywa na kiongozi (Mbunge) jamani taifa hili tutafika kweli?
Na wewe Lundenga kwa nini unavalia njuga jambo lililo wazi kabisa?
Yaani umeshupalia kabisa kuwaeleza Watanzania uongo mchana kweupe kabisa?
Nashindwa kuelewa yaani Lakini jamani inakera... inakera... inakera...
Looo Mungu Inusuru Tanzania!
Makubwa! ina maana huyu dada alipata Passport ya Tanzania bila ya kuwa na birth certificate. Ndio ameipata mwaka huu?
ReplyDeleteYaani Lundenga anadhani watu ni wapumbavu au?
Jamani kutunza uongo ni gharama kubwa sana.
ReplyDeletestupidity in Tanzania will never end.Huyu mtoto ni muongo.And she is going to represent all Tanzanians , Tanzanians have the right to know the truth.
ReplyDeleteBy the way is is not very smart either..just wastage of time on this.
Now I get the picture, ndio maana Patel alienda mahakamani kwasababu alishajua kuna mushkeli. Na kama anavyosema ndio ukweli kuwa alighushi vyeti vyake vya Passport ya kwanza basi walio husika wote wawajibishwe na Marekani wakijua aligushi ndio hata kanyaga tena. Kakiri mwenyewe kwamba alidanganya sasa na hili tutamuamini vipi? Aturudishie taji letu
ReplyDeleteDah hii imepitiliza uchachu,
ReplyDeletekwanza mnatudanganya kama sisi woote ni watoto halafu hivi mtu ni lazima ujue utaulizwa swali gani ndio uweze kujibu khaa, " sikujua kama mtaniuliza swali hili sijajipanga" mweeeeeeeee
This is another rubbish stuff when people think all Tanzanians are stupid. If Ludenga is doing business he should make it clear this is business. Don't waste time. Clear off silly tweet
ReplyDeleteMtuonyeshe nyaraka alizoombea hati ya kusafiria na lesen ya udereva aliyoipata huko texas leo dunia imekua kijini tukilivalia njuga na kufwatilia tutaujua ukweli wote ndani ya siku mbili tu,lundenga msitufanye watanzania wapumbafu kiasi hicho yaani baba yake ni msomi Mbunge hakuona umuhimu wa kuchukua cheti cha kuzaliwa wakati amezalia aje kuchukua mwaka 2014 (RITA VERSION)Shame upon you all!!!!!puuuuuuuu
ReplyDeleteKama alipoteza cheti iweje apate cheti kingine bila ya kuwa na police report. Kweli hii nchi imejaa rushwa
ReplyDeleteKILA KITU TANZANIA NI UFISADI MTUPU. HUYU DADA PASSPORT YAKE NA DRIVER LICENCE YAKE YA TEXAS INAONYESHA AMEZALIWA MWAKA 1989 SASA LEO MNABADILI TU KWA SABABU ARUHUSIWE KUINGIA KWENYE MISS TANZANIA. HIYO MISS TANZANIA INA MATATIZO SANA KWA SABABU IMEHUSISHA WABABAISHAJI KAMA HUYO LUNDENGA, KWANZA YEYE SIYO SAFI, AMEHUSISHWA NA RUSHWA NYINGI KUTOKA KWA MABINTI WANAOSHIRIKI. KAMA KWELI LUNDENGA NI MTU WA HAKI IWEJE AMUOE MISS TANGA AMBAYE KIUMRI NI KAMA MWANAWE? KWENYE HIYO PRESS CONFERENCE AMBAYO IMEJAA UONGO HUYO SITTI ANGEONYESHA HIYO PASSPORT YAKE NA DRIVER LICENCE YAKE HALAFU ATUELEZE KWANINI IMEKUWA TOFAUTI NA CHETI? SIJUI KWA NINI WATANZANIA DHAMIRA ZIMEKUFA NA UONGO UMETAMALAKI, HIVI UNAVYODANGANYA NAMNA HIYO NA PENGINE KAMKANA HUYO MWANAWE ANAJISIKIAJE? INABIDI TUTOE TAARIFA KUHUSU UFEKI NA UDANGANYIFU ALIOUFANYA KWA SERIKALI YA MAREKANI ILI AKITAKA KUJA ASIRUHUSIWE KUINGIA KWA SABABU HUYO MWENYE PASSPORT SIYO YEYE.
ReplyDeleteHivyo vyeti vimeanza muda sio mrefu kutolewa, vyeti vya zamani sio hivyo. Usanii tu.
ReplyDeleteMagumashi
ReplyDeleteDu hata mimi nilikuwa siyafuatilii hayo mambo najua uongo cheti kapata mwaka huu? Na huko marekani kaenda vp maana pasport huwezi kupata bila cheti
ReplyDeletePassport shows she's 25,
ReplyDeleteIna maana wakati anazaliwa kama hicho cheti ndio original, baba yake alikuwa member of Parliament tayari? Na wamerekani walivyokuwa makini, wasingeweza kumpa lesseni bila kuwa na ushahidi wa kutosha. Ukweli ni kwamba she has lied and caught up in the Web of lies. Aibu kubwa kwa taifa.
ReplyDeletecheti cha kuzaliwa kimetoka sept 2014 siamini kama ilikuwa mojawapo ya maandalizi ya kushiriki shindano lako.......tengua mpe mshindi wa pili...
ReplyDeleteKwa nini wazungu wanaweza kujiuzuru kwa mambo kama haya, sie ni kukomaaaa tu....kama shindano lenyewe ni lao basi tuige na tamaduni zao nyingine...tuweni na nyuso za haya jaman ni aibu..
ReplyDeletesi kwamba namtukana ila... the truth is that she looks older than others on that final picture of that day 11.10.2014...I'm sorry 4 that
ReplyDeletemdau hapo juu pasport ya Tanzania unapata bila cheti...
ReplyDeleteHii akubaliki! Wantanzania tuamke kupinga huu ujinga jamaani!! Vyombo vyeti vya uchunguzi sijui viko wapi this is purely fraud scandal, amepata hicho cheti kwa udanganyifu. Lets wake-up jamani!! Mpaka mtu unaona aibu kuwa mtanzania.
ReplyDeleteWATANZANIA TUNACHOTAKA NI HAKI TU. SINA CHUKI NA HUYO MISS TANZANIA ILA NACHUKIZWA NA JINSI UONGO WA WAZI NA UFISADI UNAVYOSHIKA KASI NCHINI KWETU. HUYO NI MTOTO WA MBUNGE MTEMVU AMBAYE ANAONEKANA ANADANGANYA WAZIWAZI, JE UADILIFU UPO WAPI? ETI SIJAJIANDAA KUJIBU SWALI? SASA UKIULIZWA HUKO MISS WORLD UNAKOKWENDA BAADA YA KUDANGANYA UTASEMA HUJAJIANDAA? ULIKUJA VIPI MAREKANI NA JINA LAKO LAKINI MWAKA WA KUZALIWA FEKI? TUTAULIZA HUKO ICE NA DMV MAANA RECORDS ZAKO ZIPO, KWA ULICHOFANYA UNAWEZA UKAZUIWA KUINGIA USA......HUWEZI KUTUFANYA WATANZANIA MBUMBUMBU WEWE NA HUYO LUNDENGA WAKO. MAMA MWENYEWE AIBU HANA ANAINGILIA KUMUOKOA MWANAWE WAKATI AKIJUA ANASEMA UONGO. UKIWAANGALIA USONI UTAONA WANACHOONGEA HAWAKIFAHAMU. AIBU AIBU AIBU...AIBU.
ReplyDeleteWooote hapo juu mmezungumzia passport na cheti original cha kuzaliwa. Mmesahau records zake za shule? Alianza standard one mwaka gani na cheti cha kuzaliwa kilichopelekwa shule kilisema kazaliwa mwaka gani? Kuna watu waliosoma nae wapo hapo Dar, mbona hakuna aliyejitokeza kusema Sitti tulisoma nae mwaka fulani na miaka yake ni hii. Hii passport mnaenda mbali. Huku mambelez watu wa shule wanajitokeza na huwezi kubisha kuwa hukwenda hiyo shule. Sasa tunataka walimu wake wa primary, secondary na high school walete vyeti tuone. Hapo uongo wake utajulikana. Tanzania watu ni waoga sana. Kusingekua na press conference kama walimu wangethibitisha umri wa huyu Sitti. Naomba kuwakilisha!!!
ReplyDeletewe lundenga na huyo miss wako feki asisubuti kuingia marekani! ataishia jela!
ReplyDeleteufisadi mtupu!sasa anamiaka mingapi hasa? mara 18,23,25,29?duuh!na alivyokomaa uso!!!!
ReplyDeleteMie nataka jumuoa huyo binti nitakua mkwe wa mh mtevu
ReplyDeleteShame ,shame, shame!!!!!!!!!! Halafu jicho kavuu, her conscious is dead.
ReplyDeleteHii. Nchi bila kuikomalia na hawa wanajita viongozi au wanasiasa ndio wapelekaji nchi au Taifa pabaya. Mambo madogo au makubwa waweza hiaribu Nchi. Sasa hiki cheti cha. Mwaka huu. Huyu amezaliwa mwaka huu. Na huko Marekani alikoenda alienda na cheti cha mwaka. Those stupid. Stupid vitabia vya uongo. Wizi.,rushwa ndio vinavyowasumbua. Shame on You. Old Lundenga.
ReplyDeleteIUNDWE TUME HURU IKISHIRIKISHA WADAU WOTE HUSIKA NA IONGOZWE NA JAJI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA. BILA HIVYO, HAPA KILA MTU ANATETEA UPANDE WAKE
ReplyDeleteWenzetu wakiandamwa na Kashfa kubwa namna hii wanajiuzulu, Ni nini kinatushinda sisi?
ReplyDeleteBY THE WAY, KAMA MTU TAYARI UNA PASSPORT NA UMESHASAFIRI NJE, NI KWA NINI UTUMIE CHETI CHA KUZALIWA KUTHIBITISHA UMRI WAKO BADALA YA PASSPORT AMBAYO UNAYO? UKIONA MTU MWENYE DEGREE ANATUMIA CHETI CHA SEKONDARI KUOMBA KAZI UJUE KUNA KITU!!!! I THINK THIS IS THE BEGINNING OF THE DOWNFALL OF THIS MISS TANZANIA REPUTATION>
ReplyDeleteKWANZA KABISA NINGEKUOMBA MUHESHIMIWA ANKALI MICHUZI MBUNGE WETU NA WAZIRI MTARAJIWA HII MAADA IENDELEE ISIJE IKAONDOLEWA SIO LEO WALA KESHO.
ReplyDeletePILI, NINGEOMBA KUANZIA LEO SERIKALI NA WIZARA HUSIKA IWEZE KUCHUKUA JUKUMU LA KUWATAFUTA MAMISS NA MWISHOWE KUMPATA MISS TANZANIA KWA MAANA HUYO MISS NDIE ATAKAYEKWENDA KUWAKILISHA NCHI.
TATU, NINGEOMBA WAHUSIKA WAPELEKE MAOMBI KWENYE MAHAKAMA KUMZUIA HUYU BINTI HASIJEKUIWAKILISHA TANZANIA KWENYE MASHINDANO YOYOTE YALE DUNIANI KWA MAANA HAITAJI KUWA NA AKILI ATA YA DARA LA PILI KUJUA HUYU BINTI NA LUNDENGA WOTE NI WAONGO.
MWISHO, TUNGEWAOMBA WOTE, HUYU BINTI, WAZAZI WAKE, LUNDENGA NA TIMU YAKE KUWAOMBA MSAMAHA WATANZANIA KWA UONGO WA WAZIWAZI WANAO WADANGANYA WATANZANIA.
NAKUSHUKURU MH MICHUZI MBUNGE WETU NA WAZIRI WETU MTARAJIWA KWA KUNIPA NAFASI HII.
Mdau mmoja hapo juu amesema baba yake msomi,naomba kujua baba yake ana elimu gani.Mimi Nina shaka kama elimu yake ni ya kiwango cha chuo kikuu.Katika mabadiliko ya katika mpya nilipendekeza mbunge awe na kiwango cha chini cha elimu ya chuo kikuu.Kwa katiba tuliyo nayo sasa,mbunge anatakiwa ajue kusoma na kuandika tu,yaani kiwango cha elimu ya shule ya msingi kinatosha.TAFAKARI.
ReplyDeleteAmesoma Kibohehe sec. amemaliza 1979
Deletewaziri wa wizara husika yuko wapi?
ReplyDeleteHuyu anahitaji mtu wa kumpeleka kunakohusika tu tosha napakupata ushahidi ni ubalozi wa marekani watatoa faili lake lote mpaka maisha aliokua anaishi huko, huyo lundenga hawezi kwenda kuhonga huko. maana hapo alivyocheza na media huyo angekua mtoto wa mtu baki angeandikwa vibaya mno ila issue ya huyu binti imeishia kwenye social networks.
ReplyDeleteNawakumbusha kuisoma vizuri na kuielewa rasimu ya katiba kisha muichambue kama ambayo mnavyonyumburisha umri wa huyu binti, yawezekana wahusika wa mahala hapa wasitoe hili oni langu kwa sababu zao lakini sakata hili la huyu binti ni miongoni mwa mambo yenye kugusa katiba moja kwa moja hivyo tuone jinsi gani kuna umuhimu wa kupata kitu bora
ReplyDeleteJamani huyo dada hata sura yake inaonyesha ni ya kiutu uzima, nafikiri hata umri wake ni Zaidi ya kwenye passport.Inawezekana kwenye pass alifoji, she looks like 30. Na haya maswali unayoyakwepa hapa utakutana nayo miss world coz tutawaambia una kashfa za kufoji umri. Mama yake nae anashiriki kuongopa, wote hawana akili kama Lundenga. Taji apewe mshindi wa pili, ndiye anayestahili. Lundenga unaharibu mashindano kwa kutetea ujinga na kutotenda haki, labda umeahidiwa kitu ndio maana unakomalia mpaka mishipa ya uso inakusimama.
ReplyDeleteVanessa Williams was the first African-American miss U.S.A in 1984,she had all the criteria and she real deserved it but the she was De-crowned,why? because she had nude pictures of her taken as a model before the pageant. this goes to show,if you aspire to be a Miss whatever country make sure your ducks are in a row and there won't be any controversy. for the committee to keep hugging her is to ruin their reputation and a chance for the real ones to win. Immediately after starting to revealing contradictory documents she should have been stopped!...and for them to go to a press conference unprepared like that while Mr Lundega is clearly biasing the facts and trying to stand by her...That is called BULLSHIT!!...he knows,she knows,the parents knows and most of all we all know it's a fraud and immediate termination of the title should happen.
ReplyDeleteThanks.
Nina amini kuwa wakati anaomba passpot yake sheti kilikuwepo na kama hakikuwepo hicho cheti cha zamani maana yake aliidanganya uhamiaji,hilo ni kosa linguine.
ReplyDeletepili mbona ni rahisi tu kwani hata shule aliyosoma si kuna rekodi za yy alianza shule lini alimaliza na umri gani ,bwana lundega acha ubabaishaji wa wazi wazi tengua maamuzi yako bhana usione aibu we na kamati yako .mbona kwako hakuna noma we si umepewa tu hivyo vyeti fuata hatua usione soo,
siti mtoto
wa chang'OMBE KILA MTU ANAMJUA
JAMANI BADALA YA KUPOTEZA MUDA WOTE TUNAOPIGA GUMZO HUMU TUANDIKE MASHINDANO YA UMISS YA DUNIA KUTOA TAARIAFA ZA UONGO HUU NA KWAMBA ZENGWE HILI LITAMBULIKE HADHARANI ILI LUNDENGA NA MISS WAKE WAISHIE DAR NA WASISHIRIKISHWE KIMATAIFA HIYO NDIYO DAWA. VINGINEVYO TUNAPOTEZA MUDA
ReplyDeleteHUYU MWANAMKE anajiharibia sehemu moja watu hatukutai mtu hawezi Kuwa Miss Tanzania Kama Baba Mbunge au Raisi wa Mjumbe wa Nyuma 10 kwa 10 haijakatazwa awe mnene au Mwembamba ila Huyu kupendelewa wazi umri umemuumbua Miss 2 na 3 wameonewa Yule Miss number 2 aende Mahakamani. Miss Tanzania umri wake ni wa zile Passport na ID ya Marekani wengi tuliokuwa Facebook zamani aliweka umri 23 sasa hivi utakuwa umri juu ya 23 sasa Kama umri wake kweli ni 18? Basi kaongopea Serikali ya USA umri? Ajue USA nao wakijuwa kawaongopea kuzidisha Umri ili apate leseni zao atafunguliwa kesi kubwa? Sasa awe mkweli nani kamuongopea? USA au Tanzania sie tunajuwa kaongopea Tanzania avue tu taji ampe mwengine Mie sina tabu naye alivyo ila Kama umecheza foul lazima uachie. MZ
ReplyDeleteJamani waandishi wa habari. Nendeni shule ya msingi aliyosoma. Muongee na mwl. Mkuu ili aweze kuwapa taarifa kamili.
ReplyDeleteJamaaani basi Msameeni ili na ninyi dhambi zenu zisamehewe.....
ReplyDeleteMy sincere advice to Sitti pls ngatuka hapo unaonyesha wazi kuwa wewe ni mwongo doesnt matter umri wako sasa.ni either ulidanganya ulipoenda Texas and may I ask why?hapo tu hutakiwi kuendelea kuwakilisha TZ we are better than that ,umeanza Tabia za wapopo mnatuharibia nchi hatukutaki,I'm going to write a personal letter to miss world
ReplyDeleteNimemuonea huruma maana anaonekana anadanganya. Lets start a petition na kuwapelekea Miss World.
ReplyDeletehttps://www.change.org/start-a-petition
Mimi ninamashaka na hiki cheti Sitti hivi kweli umezaliwa nyumbani tena Temeke Dar es salaam na sio hospitalini wala zahanati....? Kwa hadhi ya wazazi wako hilo haliingi akilini hapa aliyekuandalia hiki cheti feki naye amechemka. Penye ukweli uongo ujitenga Lundenga hivi huoni kwamba na hicho cheti unachoonyesha ni tatizo jipya kwako....?
ReplyDeleteMiss Tanzania should be someone who is truthful, honest and someone with integrity. Lack of all these Will disqualify our country in any of the international beauty competitions. Stop shaming us missy! Its time to bow out! We are not fools damn it just step down so that the runner up can represent us. Lying makes you a weak candidate and poor role model. Please. Enough is enough.
ReplyDeleteKilichonichosha zaidi ni kwamba cheti kinaonesha Sitti kazaliwa nyumbani!!! Kweli kuna mtu wa temeke, dar es salaam anaweza kuzalia mtoto nyumbani tu kienyeji mwaka 1991???? Ok, fine binti kazaliwa '91then inawezekanaje akamaliza form six 2007? Miujiza hii inaweza kutokea Tanzania peke yake, shame shame shame!! Miss sura imemkomaa hadi nyusi zimegoma kurudi!! Ptuuu
ReplyDeleteAncle Lundenga, taulo limedondoka chutama!!
ReplyDeleteLundenga anavyojibu maswali na huyo binti yake wanaonyesha uongo wazi,Alafu binti hata sura yake inaonyesha yupo above 25.
ReplyDeleteMr. Lundenga kwa nini anasema hawezi kufanya uchunguzi kwa hiyo imepangwa. Kwa umri wa huyo binti hawezi kuonyesha cheti hicho kwamba amechukua cheti Sept 2014. Wadau wameshauri vizuri data zake za shule kuanzia msingi hadi leo zofatiliwe ili apate aibu na Lundenga wake. Watanzania tutaishi maisha ya uongo hadi lini? hata kwa vitu vyenye ushahidi wa haraka. Passport yake ameomba kwa cheti gani cha kuzaliwa. Tunataka ukweli kwa hili. Mashindano ya Lundenga always ni full of migogoro.
Ningekuwepo kwenye hiyo press conference ningemuuliza Lundenga swali moja tu. Fomu za kushiriki miss tanzania huwa zinajazwa ukifika fainali au hujazwa kwenye miss vitongoji? Huko miss vitongoji alivojaza fomu alipeleka cheti gani cha kuzaliwa, maana nna uhakika hiki cha september 2014 kilikuwa hakijatoka.
ReplyDeleteShame, Shame, Shame on you All. I Mean you Lundenga, Sitti and her parents. The best you can do Lundenga is your committee to De-crown her and announce the first runner up a winner.
ReplyDeleteMahala Pa Kuzalia eti 'At Home'
ReplyDeleteKwa kweli na hili lililo wazi likipita tu kama upepo, basi nitachukuwa uraia wa nchi nyingine. Hapa kuna kazi ya polisi ya kuchunguza jinai ya kughushi cheti na kudanganya. Kuna msululu wa watu - Miss, wazazi wa miss, Lundenga na aliyetoa cheti huko RITA. Hii ni zaidi ya uongo wa kawaida. Ni kesi ya jinai.
ReplyDeleteZa mwizi 40. Inaonekana Lundenga huwa anatuchezea akili miaka yote. Siendi tena kwenye mashindano yake. Hili liko wazi kabisa. Nashangaa anavyomtetea Miss forgery wake. Inaonekana kuna kitu kapewa. Lakini si vibaya kumrudishia Mtemvu alichokupa na kutengua ushindi na ku-move forward. Kinachoendelea si siri tena. Uzuri wa kumshinda 1st runner up hana. Angalia mdomoni mwake na utagundua kitu kingine. Kwamba majaji hawayaoni haya mambo kuna sababu. Si bure. Watanzania kwa kweli ni aibu - kila kitu tupindishe. Kweli nchi hii itapata maendeleo siku moja?
ReplyDeleteHivi kwani lazima ni lundenga tu. Wapewe watu makini waandae masindano hayo tumewachokaaaa p uuuuuuù uchafuu mtupu
ReplyDeletetupeleke taarifa kwa waandaaji wa miss world inaonekana ela aliokula lundenga ni ndefu na hawezi kumpiga chini huyo miss lundenga wala hawezi rudisha huo mlungula kwa mtemvu
ReplyDeleteCha kufanya tupeleke taarifa miss world kupitia
https://www.change.org/start-a-petition
msimuonee huyu miss muachene ni wakati wake sasa wakujidai mkubali mkatae.kwa upande wangu ukifikiri kwa undani karibu washiriki wote huwa wanadanganya umri hilo tatizo halijaanza leo nila muda mrefu.kama kuchunguzwa umri ufanywe kwa wote sio baada ya kushinda ndo muanze kutoa mapungu.mbona hamuongelei kuhusu check ilitakiwa iwe mill18 lakini imeandikwa 10;zilizobaki zimeenda wapi mbona hawa kutoa maelezo.kwa ufupi hakuna cha bure toa kitu upate kitu.waseeema ukweli wengi hufa masikini.kama unabisha poleee
ReplyDeleteTumepigwa Changa la macho. What a shame for her and her parents.!familia nzima wote mafisadi
ReplyDeleteThere is no need to proof her age. The face tells everything. She is an old woman on her thirties.
ReplyDeletePolice mnasubiri nini hamuoni kwamba hapa kuna jinai imefanyika.IGP Mangu tunasubiri kauli ya jeshi lako.
ReplyDeletembona wizara usika kimia jamani.
ReplyDeleteKulingana na cheti cha kuzaliwa, Kazi ya baba yake wakati yeye anazaliwa ni Mbunge wa Temeke. Wakati repoti ya bungeni ninasema alikuwa mbunge tangu 2005. Sasa hapa ni bunge wamedanganya au?
ReplyDeletehttp://www.parliament.go.tz/index.php/members/mpcvs/1348/2010-2015
Mwisho wa Lundenga umefika, natabiri kuwa mwakani Miss Tanzania haitakuwepo kama sheria na haki ya kweli vitazingatiwa. Hatuwezi kuendelea kujichafulia jina, kwenye sembe tumechafuka, ufisadi tumechafuka, uongo tumechafuka basi huyu awe mhanga wa kutusafisha maana vyombo vya habari vya nje havijafumba macho wanaangalia kila kitu. Sitti tafuta shughuli nyingine ya kufanya mshukuru Mungu umeanguka ili ukizaliwa uzaliwe upya utasimama tu.
ReplyDeleteSITI HAWEZI KUACHAI NGAZI HATA KIDOGO, NA LUNDENGA HAWEZI KUKUBAKLI UKWELI.... TATIZI SITTI KESHAPELEKA CHEQUE BANK NA KESHA KUSANYA HELA..SASA MSALA NI KUDAIANA HELA.
ReplyDeletePILI WADHAMINI WA SHINDANO HILI NAO WANAONEKANA WAONGO KWETU.
WADHAMINI WA SHINDANI HILI MWAKA HUU NAO WANATETA HUU UJINGA? WANAKUBALI TAWSIRA YA KAMPUNI YAO HII MATOPE KUONEKANA NAO NO WABABISHAJI>>
KWA HIYO SITI, LUNDENGA NA WADHAMINI WA SHINDANO HILI WANATULETEA AIBU KWA WADOGO ZETU KWA KUONYESHA KUWA NI SAWA KUONGOPA NA KUFOJI KTK MAISHA...
WADHAMINI WA SHINDANO HILI NANYI
MMECHEMKA NA MNAHARIBU KWA JAMI HESHIMA.
NEXT YEAR HAWA WADHAMINI WA SHINDANO NA LUNDENGA KAMWE HATUTAWAAMINI, HAKIKA HMAFAI KUWA KIOO CHA MALEZI YA UKWELI NA KUJITAHIDI KIMAISHa kwa uwongo wenu.
KWA STAILI HIYO HIYO NDIVYO KATIBA MPYA ILIVYOPITISHWA NA BUNGE MAALUMH
ReplyDeleteKWA STAILI HIYO HIYO NDIVYO MH. MBUNGE WA TMK NA WENGINE WENGI WALIVYO PATA USHINDI
NDIYO MANA TUNASEMA BONGO TAMBARAREEEE
TUTAPIGA KELELE LAKINI MWISHO WA SIKU YATAPITA - HEBU TUJIKUMBUSHE SAKATA LA MCHEZAJI NURDIN BAKARI (NANI ALICHUKULIWA HATUAAA?)
Inavyoonekana kwa sasa kupata cheti cha kuzaliwa ni rahisi sana kwa RITA, hawafanyi uchunguzi wowote ule wanaandika unachoeleza hata kama ni uongo sio kama zamani ilikuwa kupata cheti kingine kama umepoteza cha mwanzo ni kazi kweli. RITA jipimeni kama bado mnatakiwa kuwepo kwa mwendo huo mnaokwenda nao hata wasio raia watakuwa wamepata vyeti
ReplyDeleteKwenye nchi zinazojali utawala wa sharia Mh.Mtemvu angekuwa ama ameshajiuzuru au amevuliwa ubunge kwa maana ameshiriki moja kwa moja kwenye shutum hizi za kughushi nyaraka za serikali. Hapahitajiki tume wala nini kubaini shutuma hizi.
ReplyDeleteKwenye nchi zinazojali utawala wa sharia Mh.Mtemvu angekuwa ama ameshajiuzuru au amevuliwa ubunge kwa maana ameshiriki moja kwa moja kwenye shutum hizi za kughushi nyaraka za serikali. Hapahitajiki tume wala nini kubaini shutuma hizi.
ReplyDeleteNaunga mkono suala la petition maana huku kwenye mtandao tunaonekana kama kelele za chura.
ReplyDeleteMIMI NI MDAU NIKIWA HUKU MAJUU,NIMESOMA HABARI ZA HUYU MDADA NIMEZIMIA.KWANZA KABISA NIMESOMA NAYE AMEZALIWA MWAKA 1987.SITAKI KUTAJA JINA NAWAOMBA CLASSMATE WENGINE HAPO DSM WAPO WENGI WAJITOKEZEEEE JAMANI.
ReplyDeleteTaja shule mliyosoma wote tufuatilie taarifa zake.
DeleteBe truth to yourself.. the truth will set you free
ReplyDeleteshame shame tz
ReplyDeletehahahahaaaaa.... asante vizazi na vifo!
ReplyDeletekama nimemuelewa vizuri, anakiriki kuwa passport ya mwanzo na drivers licence za huko marekani ndio za kugushi. Na hiki cheti kipya cha Ms Tanzania ndio halali. Patamu hapo.. yaani bora hata wasingeongea hawa watu hawajajipanga. Mzee Lundega heshma inapotea mzee wangu.. hawa wanapita tuu... unaweza kuta hata huyo aliyekuja hapo ni feki..!!!
Waangalie dental reports zitaonyesha umri halisi, wacheki imigration kujua docs gani alisubmit Wakati anaomba pspt ya kwanza, wafuatilie data Kwenye hospitality anakosema alizaliwa. ( give her a chance to proof all the Tanzanians wrong).
ReplyDeleteHii kweli kali ya funga mwaka...Ankali watanzania wa leo sio wale wa mjumbe ndio Ukweli ndio wanaoutaka,
ReplyDeleteSwali wewe ni mkubwa miaka 24 tuambie kituo gani cha Polisi uliekwenda kutoa ripoti cheti chako cha kuzaliwa kimepotea?
Jibu-Mjomba Lunde kaingilia hahahahaha
One of the two is wrong. Huenda umri wake kweli ni miaka 23 kama anavyodai, na kama kweli ni hivyo, basi huenda alighushi hizo documents nyingine. Ama huenda amedanganya kuhusu umri. Vyovyote itakavyokuwa atakuwa kavunja sheria za nchi ama nchi alikopatia hivyo vyeti vingine. Ndio maana yeye na mama yake wanapata kigugumizi. Kama kila kitu kingekuwa straight forward explanation kama ni kweli na isingehitaji mkutano mwingine maalum na waandishi wa habari. Na mama mtu angesema tu mwanae kazaliwa lini. Mama gani asiejua mwanae kazaliwa lini. Huyu mama kutojibu swali dhahiri kabisa la waandishi wa habari kuhusu umri wa bintie, ndio kunazidi kuweka mashaka their side of stori. Na mbona baba kakaa kimya? Kwa vile anajua dhahiri kuwa kuna kitu hakiko sawa ambacho yeye baba hataki kuwa part of it. Huyu binti angekuwa mstaarabu tu na ikawa salama zaidi kwake endapo atalivua taji tu kwa hiyari yake. This is a small world taarifa zinasambaa upesi duniani within seconds. Aking'angania tu, huko mbele atajiweka katika wakati mgumu zaidi, hasa kwenye nchi ambazo mgeni akiwa proven kaghushi dosc hiyo ni automatic expulsion from the country. Na akitoka hapo nchi gani nyingine itamchukua, Salama yake itakuwa nyumbani Tanzania..
ReplyDeleteJamani watanzania wezangu tunapotea,hebu angalia karibu kuna maoni kibao kuhusu huyu mrembo, lakini vitu muhimu kama katiba hupati maoni mengi. Naelewa wengi mtasema inaanzaga na hawa hawa watu waliopo madarakani, lakini inaonyesha jinsi watu walivyo makini na mambo ya ulimbwede lakini siyo maisha magumu ya kila siku. Jamani Watanzania kuna watu masikini sana, ni bahati kwa kupata mlo mmoja, shule mbovu ni bahati kama zina walimu hawalalamikii hela zao, miundo mbinu hamna, hospital hazina dawa, wala waganga kama zipo, maji, umeme wa shida, naweza kuoredhesaha matatizo mpaka kesho. Na mala unasikia watawala wanasema hamna kuvaa magwabda ya jeshi au sijui Ms. TZ kafoji miaka, nk. kupoteza muelekeo wa ishu ambazo wanainchi wanatakiwa wajadili. Nawapa pole WTZ. ata hao waandishi wamemkomalia kuuliza maswali kwa ujasiri huyo mrembo, mbona hawaulizi mafisadi wanaotuumiza kila siku maswali kama hivyo? Au viongozi maswala ya EPA au vipi tembo wanateketea wakiwa madarakani? Au ndugu zetu Albinos wanauwawa kikatili? Sisikii watu mkiandika maoni mengi namna hii kuwakomalia viongozi wajiuzulu? Mabomu yamelipuka mala mbili, hamna hata kiongozi mmoja aliyejiuzulu. Kuna wengine wanasema watatuma malalamiko kwa Trump, acheni kelele jamani. Trump mwenyewe anachakachua,ameoa mmoja wa hao hao warembo. Mie niliacha zamni kuangalia haya mashindao kwa sababu hayawafunidhishi dada zetu chochote bali ukiwa mzuri basi unapewa kila kitu, hawaitaji akili. TZ. Na nilishalalamika kuhusu haya mashindano, jamaa wakaniambia niake kimya "kwani hao madada ni chakula cha wazee"
ReplyDeleteHakuna cha maana
ReplyDelete