Maadhimisho
ya siku ya kimataifa ya mtoto wa kike yaliyo ratibiwa na Women in Law
and Development in Africa - WiLDAF yafana jijini Dar es salaam.
Octoba
11 ya kila mwaka ni siku iliyopitishwa na Baraza kuu la Umoja wa
Mataifa kuwa Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike duniani kote. Maadhimisho haya yalifanyika katika Hoteli ya Double Tree, Dar es Salaam.
Washiriki wa maadhimisho hayo wakiwa katika picha ya pamoja.
Mmoja wa washiriki waliofika kwenye hafla hiyo ya maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Mtoto es Kike yaliyoratibiwa na WiLDAF akichangia mada.
PICHA ZAIDI INGIA HAPA.
PICHA ZAIDI INGIA HAPA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...